Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

sukuma gang et al.
 
Leo mataga wote watajifanya wasukuma ili wajipe chance ya kumtukana mbowe....visisiem vijinga
 
Duh,huyu tapeli huyu malyenge
Inawezekana kweli ni tapeli ila jambo la msingi aache kauli za kibaguzi ajue kabisa kama anataka CHADEMA kuaminika ni muhimu sana kukifanya chama kuwa na mtazamo wa kitaifa zaidi badala ya kama alivyofanya juzi kutoa shutuma zisizo na uthibisho wala uhakika.
 
libaguzi mnoo hili jamaa saa hz limeishiwa linatqfuta hela za wanachamq wakati ruzuku wakipata wanakimbilia Dubai, Ubelgiji na Marekani yaani akina Mangungo wa kizazi hiki tumewapata
 
Hakuna jinsi aliwe mchuzi na "kichuri" na nyama choma tu!
 
Hiyo ni mboga ya Mkiti awapo safarini kidigital.Mboga haijadiliwi msiwe na wivu.KUKU/NG'OMBE
Uzito uko wapi
 

Leo Sukuma Gang imekuwa Sukari ¿
 
Mwenda zake alikuachia mimba,

Usijali hii utajifungua tu kisha utamsahau
Unatukana walio hai kwa ajili ya maiti, mbaya zaidi umeitukana maiti yenyewe, ndugu zake na Chama chake kwa ujumla.
Kwamba mwendazake alikuwa akishiri ushoga
 
Watu bana kwa niabaa ya familia yako inahusikaje hapo.....kwa mboweee
 
Unatukana walio hai kwa ajili ya maiti, mbaya zaidi umeitukana maiti yenyewe, ndugu zake na Chama chake kwa ujumla.
Kwamba mwendazake alikuwa akishiri ushoga
Ndio uache kumtaja taja hata kwa mambo ya kijinga ili isionekane alikuwa anakufanyia hayo!

Heshima yako itabaki pale pale.
 
Nakazia tena Wazee wa Mwanza hawawezi kuishi Igombe. Huko ni wavuvi tu. Kama huyo ng'ombe angekabidhiwa maeneo kama Nera, Kirumba,Nyamanoro, Nyakato, Nyegezi n.k. hapo nisingetia neno. Lakini Igombe nasema big No.
Kwa Wavuvi hakuna WAZEE?

Au kwako wewe wazee ni wa Dar es salaam tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…