Wazee hao watakuwa ni wakununua sio mangosha, sio kila mzee anayeishi Mwanza ni msukuma.
Kweli kabisaAmekabidhiwa na wazee wa Chadema wa huko shamba Igombe na siyo wazee wa Mwanza, usiwasingizie wazee wa watu.
Basi tuseme hayaNakazia tena Wazee wa Mwanza hawawezi kuishi Igombe. Huko ni wavuvi tu. Kama huyo ng'ombe angekabidhiwa maeneo kama Nera, Kirumba,Nyamanoro, Nyakato, Nyegezi n.k. hapo nisingetia neno. Lakini Igombe nasema big No.
wasukuma hao hao uwatukane hao hao uwatake kura kwa sqbabu kumtukana Magufuli ni kuwatukana wasukuma wote mbona huyu Mr zero na tapeli la kisiasa anatuona ss mafara sqna kwamba Usukumani ndio sehemu ya kufanyia maigizo
Atakuwa mzee Masinde ambaye ni Mkara kwa kabila na kuzaliwa
Dada acha kudanganya umma na propaganda zenu. Igombe hakuna wafugaji wa ng'ombe bali wavuvi tu. Huyo ni ng'ombe wakununuliwa na watu wake hapa Mwanza ukibisha namtaja jina na ng'ombe huyo wamazingaombwe alikonunuliwa. Wakadanganye Kyela na Tukuyu dada! Eti wazee wa Mwanza!!
Je wavuvi hawazeeki , na wakizeeka hawawi wa Mwanza ?Mhhh, wazee wa Mwanza waishi Igombe? Kiki tu huko kuna wavuvi tu tusidanganye.
Wewe usiniulize maswali ya kitoto hivyo, uwe na adabu kidogo. Nisifike Igombe kwani mimi si mzee wa Mwanza we vipi ?umewai fika igombe?
Sidhani kama unajua ulichoandika!
Wewe muha uijue Igombe kuliko mimi mzaliwa wa Mwanza ? Kweli mmea wa Arusha ni shidaUnaijua Igombe au kutaka uonekane ume comment?
Umeteseka hadi nakuhurumiaWewe muha uijue Igombe kuliko mimi mzaliwa wa Mwanza ? Kweli mmea wa Arusha ni shida
Msukuma mjinga ni wewe na wenzako wachache mnaotanguliza usukuma wenu mbele kama ngao badala ya kuheshimu uTanzania wenu.Huyu mpuuzi Sana ana dharau Sana anawatukana wasukuma halafu anawatangulizia vipande thelathini
Wasukuma tuelewe huyu jamaa anatuchota tusikubali ujinga huu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio unateseka, Igombe kuna wazee wa Mwanza. FyuuuuuUmeteseka hadi nakuhurumia