LGE2024 Freeman Mbowe akinukisha Uyole Mbeya Serikali za Mitaa. Kumbe CHADEMA ina Watu

LGE2024 Freeman Mbowe akinukisha Uyole Mbeya Serikali za Mitaa. Kumbe CHADEMA ina Watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya.

Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na viongozi wengine.
IMG-20241124-WA0038.jpg
IMG-20241124-WA0040.jpg
IMG-20241124-WA0039.jpg
IMG-20241124-WA0041.jpg
IMG-20241124-WA0042.jpg
IMG-20241124-WA0043.jpg
IMG-20241124-WA0044.jpg
IMG-20241124-WA0045.jpg
 
Mke wa Hafidhi siku atakayokuja kustuka, atajukuta yuko yeye na mwanaye tu. Watanganyika kwa fitina hawajambo.
 
CCM wanaujua mziki wa CDM..bila kusaidiwa na dola hawana kitu mule.
 
Back
Top Bottom