Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Freeman_Aikaeli_Mbowe_(cropped).jpg

Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA.

Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA.

Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam.

Baada ya kumualika kuhudhuria Mkutano wao kakubali.

Je, anaenda Mazima au atarudi CHADEMA?

Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa kitazindua rasimu ya Ilani yake ya uchaguzi yenye nguzo kuu nane, kupitia Mkutano Mkuu wa chama hicho unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya nguzo kuu za Ilani hiyo ni pamoja na kuondoa umaskini wa kipato, kujenga uongozi unaozingatia maadili, kuheshimu haki za binadamu na utawala wa sheria, kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi na kuvutia wawekezaji kwa mazingira rafiki. Pia CHAUMMA wamegusia katiba Mpya.

Nasubiri kwa hamu hiyo tarehe 10 Baba la Baba atakavyodai CHADEMA haijui kabla jogoo hajawika mara tatu🤣🤣
 
View attachment 3435111

Mbowe alichokifanya kwa chama chake, kimefuta rekodi zake nzuri za miaka 20 iliyopita..
 
Vyama vya mfukoni hivi nani atavipa attention?
 
Back
Top Bottom