Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese.



Masese na Mbowe wamepata wasaa wa kubadilishana mawazo na mikakati , hasa ikizingatiwa kwamba Oparesheni 255 inatarajiwa kuendelea Kanda ya Nyasa .

Huu hapa Ujumbe wa Maranja Masese

 
Jamaa anamkubali sana Mbowe, ila aache matusi !!! Nimekuwa nikiona anatukana watu sana kitu ambacho mwenyekiti wake aliwakataza
Habari za matusi kwa CHADEMA siyo la kuuliza maana ili uwe kamanda uliye iva nilazima uwe mtukana matusi na kunuka matusi mdomoni utafikiri shimo la choo lililo Tobolewa na maji ya mvua
 
Great men.........Thumb Up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…