Freeman Mbowe akutana na Martin Maranja Masese

Kwa hiyo na nyie CHADEMA hii ni habari?
 
Kweli chadema wamechoka

Hakuna agenda hadi two party gurus wakikutana inaanzishwa thread?

From the real deal to the real meal….

Hili nalo mkalitazame
 
Kweli chadema wamechoka

Hakuna agenda hadi two party gurus wakikutana inaanzishwa thread?

From the real deal to the real meal….

Hili nalo mkalitazame
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kumbe Maranja bado ni kijana ,mbona ameamua kuharibu future yake mapema kiasi hiki ?inawezakanaje kijana mwenye akili timamu kuwa mateka wa hawa wachagga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…