Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo Jumatatu ya tarehe 21/03/2022, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amemtembelea muasisi wa Chadema Edwin Mtei, nyumbani kwake huko Tengeru, Mkoani Arusha.

Mbowe ametumia wasaa huo kumpa Pole Mzee Mtei kwa kufiwa na Mke wake aliyeitwa Johari, Ambaye alifariki 20/08/2021 wakati huo Mbowe alikuwa Gerezani, ambako alishikiliwa kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
 
Sema Mbowe akutana na baba mkwe wake mwanzilishi wa Chadema aliyemkabidhi chama Mbowe aliyeoa binti yake ili awe anaendelea kumpelekea pesa ya ruzuku baba mkwe
We jamaa tulia basi[emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
 
Amekutana mkwe wake.
 
huyu mzee aliwahi kuwa gavana wa benki kuu kipindi uchumi ulishuka,ila walitofautiana na nyerere akamua ajiuzuru ila watu wanasema alifukuzwa kazi je, nyerere alimfukuza kazi baada ya kumshauri aishushe shilingi au mtei aliacha kazi baada mchonga kutokufata ushauri wake?alijiuzuru kabla ya kufukuzwa au alifukuzwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…