Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

Mzee atakuwa kamwambia nendeni mkachukue Ruzuku mliyosusa mimi nahitaji pesa

Mbowe akitoka hapo kama ruzuku walikuwa hawachukui lazima aende kachukua

Msajili jiandae kuwapa ruzuku zote na arrests zao hapo hawaongelei pole ni pesa tu
 
John mallya :Kama gari la RPC linasiti 5 na ninyi mnasema mlikuwa 6 mweleze mheshimiwa Jaji je? afande kingai alimkalia nani?
Shahidi:Sijui
Hahahahaaa... Mkuu? Loh... Maswali ya moto haya!
 
huyu mzee aliwahi kuwa gavana wa benki kuu kipindi uchumi ulishuka,ila walitofautiana na nyerere akamua ajiuzuru ila watu wanasema alifukuzwa kazi je, nyerere alimfukuza kazi baada ya kumshauri aishushe shilingi au mtei aliacha kazi baada mchonga kutokufata ushauri wake?alijiuzuru kabla ya kufukuzwa au alifukuzwa?
Alikuwa anataka kuishusha shilingi toka darini au mlimani? Kiswahili tata hapa, hebu tufafanulie!
 
Sema Mbowe akutana na baba mkwe wake mwanzilishi wa Chadema aliyemkabidhi chama Mbowe aliyeoa binti yake ili awe anaendelea kumpelekea pesa ya ruzuku baba mkwe
Ruzuku wanakul a CCM.

CCM ilikumbwa na ukata wakaona solution yao ni kuchukua Ruzuku yote peke yao.... Wakachafua uchaguzi.
 

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo Jumatatu ya tarehe 21/03/2022, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amemtembelea muasisi wa Chadema Edwin Mtei, nyumbani kwake huko Tengeru, Mkoani Arusha.

Mbowe ametumia wasaa huo kumpa Pole Mzee Mtei kwa kufiwa na Mke wake aliyeitwa Johari, Ambaye alifariki 20/08/2021 wakati huo Mbowe alikuwa Gerezani, ambako alishikiliwa kwa tuhuma za uongo za Ugaidi.
Amekutana na Konki la siasa za vyama vingi.
 
Nchi hii hakuna watu wakabila wenye ubaguzi ktk utumishi wa umma kama wamachame kabila ya Mbowe. Hawa watu ni hatari sana Na unaweza kuona ubaguzi wao mpaka ndani ya lichama Lao la hivyo la Chadema.

Lichama ambalo mbowe amengangania madaraka ya uenyekiti Na kuwaweka mbele wamachame wenzie akina Lema.

Ingia kwenye taasisi za umma kama Bose wa Utumishi ni mmachame hukosi malalamiko ya upendo leo wa wamachame kuoanda vyeo haraka hata kama sifa na uzoefu Uko chini.

Pia ni wanafiki sana hawa wamachame Na washirikina kupindukia.

Kwa ufupi Mbowe hana hadhi hata kidogo kwenye kupinga masuala ya unaguzi katika jamiii yetu kwani yeye ndiye kiongozi pamoja Na wamachame wenzake.
 
Sema Mbowe akutana na baba mkwe wake mwanzilishi wa Chadema aliyemkabidhi chama Mbowe aliyeoa binti yake ili awe anaendelea kumpelekea pesa ya ruzuku baba mkwe
Sema Mbowe akutana na baba mkwe wake mwanzilishi wa Chadema aliyemkabidhi chama Mbowe aliyeoa binti yake ili awe anaendelea kumpelekea pesa ya ruzuku baba mkwe
Yaani hapo Ni CEO wa CHADEMA amekutana na CHAIRMAN wa CHADEMA ambaye Mkwe wake.

Yaani kwa mfano halisi Ni sawa na kusema, MO DEWJI amekutana na AZIM DEWJI.
 
Bila historia yetu kuchezewa hawa wazee kina Mtei ni among our nation legends.
 
Mbowe akistaafu naye atamwachia Chama mwanae na kama kawaida makamanda watashangilia sana.
Kwa Tanzania hii wala hilo sio jambo la ajabu.

Kama CCM kwa Magu, kafa akiwa anasifiwa na kuabudiwa, ameibuka Hangaya..mambo ni yale yale kucha kutwa kusifu tuuu na kumwabudu kwamba bila yeye hakuna linalowezekana kufanyika.
 
huyo mzee ndio JK wa CHADEMA,hongera sana Mbowe kwa kukumbuka kumtembelea baba mkwe
 
Mkewe wa ndoa anaitwa Lilian Mbowe sio Irene lakini pia amezaa na aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Chadema,Joyce Mukya watoto wawili ni nyumba yake ndogo uhusiano wao uliwahi kuleta mtafaruku sana kwenye ndoa ya wawili hawa kwa sasa hatujui nn kinaendelea
Huyo Irene ni nani? Maana mke wa Mbowe tunayemjua anaitwa Lilian.
 
Back
Top Bottom