Sheria zimeandikwa kwenye vitabu, hakuna asiyezijua, sheria sio maoni au mapenzi ya watawala kama mnavyotaka kutuaminisha.Kuandamana ni haki , ila kundamana bila kufuata sheria ni vurugu
Uwanja wa ndege,machine zote za kuscan passport hazifanyi kazi muda tu....Uhamiaji wanafanya kazi zao kwa mazoea ya kizembe sana, juzi nimeona twitter watalii wamekalishwa uwanja wa ndege muda mrefu bila sababu yoyote ya maana, ajabu kule nje mnatangaza royal tour, kisha wakifika ndani hamjui kuwapokea!.
Utaratibu ulipo ni kwamba. Nchi kama marekani raia wake wanapewa visa kabla au on arrival yaani pale airport unagonga unaingia sasa. Kulikua na shida ganiHuyo mtoto ni raia wa nchi nyingine inabd afate utaratibu,
CCM wamelifanya taifa letu liwe mzigo kwa mataifa mengine.Uwanja wa ndege,machine zote za kuscan passport hazifanyi kazi muda tu....
Passport zote zinakaguliwa manually mzee
Ova
Siri zinafichuka, kumbe wenzetu ni wanyamwezi origino😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya nendeni mkatolewe roho ajili ya wengine
Eti katiba, tuingie rodi, bure kabisa
Si umeambiwa ana uraia wa Marekani?!Huyo mtoto ni raia wa nchi nyingine inabd afate utaratibu,
Si umeambiwa ana uraia wa Marekani?!
It means aliingia kama Mmarekani, na kwahiyo alifuata utaratibu kama Mmarekani.
Lakini kwavile Uhamiaji walifahamu kwamba ni Mtoto wa Mbowe, hawakutaka tena kum-handle kama Mmarekani bali kama Mtoto wa Mbowe!
Na Tanzania tunazo nchi ambazo raia wake wanaweza kupata visa on arrival, na moja ya hizo nchi ni Marekani.
Kuna yule waziri wa ccm mstaafu tuliambiwa mwanaye ni mfanyakazi wa TRA ya UK. Natumaini siyo raia wa UK hata kama Malkia alimpa zawadiHata Sugu mwanawe mmarekani
Nadhani hii ni Utamaduni wa Ufipa st