Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Imeelezwa kuwa mwenyekiti wa chadema mh Mbowe alikuwa tayari kushiriki Mdahalo ila Ntobi na Yericko Nyerere ambao ni Mameneja wake wamemzuia
Ntobi amesema hiki ni Kipindi Cha kutafuta KURA na siyo kufanya Mdahalo na kwamba kanuni za kidunia zinazuia Wagombea kufanya Mdahalo Saa 72 kabla ya Uchaguzi
Mbatizaji nikiwa Dodoma 😂