Freeman Mbowe ameitendea haki miaka 60 ya Uhuru, kama siyo yeye Dar es Salaam washamba wangekuwa wengi

Freeman Mbowe ameitendea haki miaka 60 ya Uhuru, kama siyo yeye Dar es Salaam washamba wangekuwa wengi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye kwa sasa ni mwanasiasa enzi zetu alikuwa ni kimbilio la vijana waliopenda kuijua dunia kupitia muziki.

Freeman Mbowe ndiye aliyemuingiza bungeni mwanamuziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi na baadae Joseph Haule.

CCM imemuingiza mwana FA hivi karibuni lakini huko nyuma ilipendelea zaidi waimba kwaya na Taarabu mfano John Komba, Vicky Kamata, Martha Mlata nk na hata mzee Yusuf.

Kiukweli Freeman Mbowe alikuwa kama mlango kwa vijana kuijua dunia kupitia muziki kwa kuburudika.

Katika miaka 60 ya Uhuru nitamkumbuka kwa hilo kwani enzi zile Mbowe hotels Disco lao lilikuwa namba moja likifuatiwa na YMCA kwa DJs Jerry Kotto na Chriss Phabby palipokuwa chimbo langu.

Mungu mbariki Freeman Mbowe!
 
Yayumkinika kuwa Joseph Mbilinyi ndie masanii kijana wa pili duniani kuwa Mbunge(MP) baada ya yule wa Ufaransa.
 
EeenHeeee,

Unazungusha kichwa sana wewe mtu.

Lakini katika hili naiona halisi ya dhamira ya moyo wako.

Unafanya uonekane katika picha tofauti na uliyozoeleka kwayo hapa JF.
 
EeenHeeee,

Unazungusha kichwa sana wewe mtu.

Lakini katika hili naiona halisi ya dhamira ya moyo wako.

Unafanya uonekane katika picha tofauti na uliyozoeleka kwayo hapa JF.
Ameshajifunza lolote laweza kutokea. Bora awe popopo atafit kotekote
 
Haya maisha kweli huwezi kujua kesho yako. Hivi John wewe ni wa kumsifia Mh: Mbowe kweli ?? Mwana CCM kindaki ndaki. !!
 
Gaidi na Uhuru wapi na wapi?

USSR
Ugaidi wa kutengeneza kuwafunga pingu mikono saa 24 kuwapiga waseme ugaidi ambao haupo na haujawahi kuwepo, hivi wewe hapo ulipo ufungwe pingu mikono miguu saa 24 huku ukipigwa ulazimishwe kusema vitu ambavyo havipo na havijawahi kuwepo utajisikiaje? Unapata faida gani kuishi kwa kuwasingizia uongo wapinzani?
 
Haya maisha kweli huwezi kujua kesho yako. Hivi John wewe ni wa kumsifia Mh: Mbowe kweli ?? Mwana CCM kindaki ndaki. !!
Mbowe kifikira ni mtu wa kila aina ya maisha ni mjuzi wa burudani na pia ni mjuzi wa siasa za kuiamsha CCM tokea gizani kwenda kwenye mwanga mzuri ingawa CCM hawataki kuambiwa ukweli wamesalia kuwabambikia kesi wapinzani bila kikomo
 
Miaka yote 60 hayo ndo aliyoyafanya?
1. Disco
2. Mr. II
3. Prof.J
Kwani mbowe anatakiwa akuletee pesa akuletee dawa madawati shule na huduma zote? huo ni wajibu wa Serikali kutekeleza baada ya kukusanya kodi, kazi ya upinzani ni kukosoa Serikali kuikumbusha wajibu wake mda wote, kitu ambacho mbowe amekifanya vizuri kwa mda wote
 
EeenHeeee,

Unazungusha kichwa sana wewe mtu.

Lakini katika hili naiona halisi ya dhamira ya moyo wako.

Unafanya uonekane katika picha tofauti na uliyozoeleka kwayo hapa JF.
Binadamu baada ya kazi anatakiwa aburudike hivyo mbowe anavyo vipaji vyote vya siasa na pia burudani
 
Ujinga tu
Ujinga ni kile kitendo cha kuwabambikia kesi wapinzani kutengeneza kesi feki za ugaidi ambao haupo na haujawahi kuwepo,kufanya pingu mikono miguu saa 24 kuwatesa kuwapiga waseme ugaidi ambao haupo ni mateso mabaya kupata kutokea Nchini tangu Tanzania ipate uhuru wake
 
Back
Top Bottom