johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kumbe mkongwe, sasa mbona unapenda kuona kizazi kijacho kikiendelea na manyanyaso ya CCM kama wewe ulivyokuwa ukiwatoroka Mgambo wa kodi ya kichwa?Djs Jerry
Huyu ni johnthebaptist pro chadema nasubiri yule wa pro CCM.
Nitakuwa nafwatilia kila post yake nione mawimbi ya Neva yanavyoyumba.Dawa leo zimemezwa Mkuu na akimeza dawa akili zake kama wanachadema.
Hili zimwi vipi?Na huyu nae unamkumbuka kwa lipi?View attachment 1961993
Ameshajifunza lolote laweza kutokea. Bora awe popopo atafit kotekoteEeenHeeee,
Unazungusha kichwa sana wewe mtu.
Lakini katika hili naiona halisi ya dhamira ya moyo wako.
Unafanya uonekane katika picha tofauti na uliyozoeleka kwayo hapa JF.
Ugaidi wa kutengeneza kuwafunga pingu mikono saa 24 kuwapiga waseme ugaidi ambao haupo na haujawahi kuwepo, hivi wewe hapo ulipo ufungwe pingu mikono miguu saa 24 huku ukipigwa ulazimishwe kusema vitu ambavyo havipo na havijawahi kuwepo utajisikiaje? Unapata faida gani kuishi kwa kuwasingizia uongo wapinzani?Gaidi na Uhuru wapi na wapi?
USSR
Mbowe kifikira ni mtu wa kila aina ya maisha ni mjuzi wa burudani na pia ni mjuzi wa siasa za kuiamsha CCM tokea gizani kwenda kwenye mwanga mzuri ingawa CCM hawataki kuambiwa ukweli wamesalia kuwabambikia kesi wapinzani bila kikomoHaya maisha kweli huwezi kujua kesho yako. Hivi John wewe ni wa kumsifia Mh: Mbowe kweli ?? Mwana CCM kindaki ndaki. !!
Kwani mbowe anatakiwa akuletee pesa akuletee dawa madawati shule na huduma zote? huo ni wajibu wa Serikali kutekeleza baada ya kukusanya kodi, kazi ya upinzani ni kukosoa Serikali kuikumbusha wajibu wake mda wote, kitu ambacho mbowe amekifanya vizuri kwa mda woteMiaka yote 60 hayo ndo aliyoyafanya?
1. Disco
2. Mr. II
3. Prof.J
Binadamu baada ya kazi anatakiwa aburudike hivyo mbowe anavyo vipaji vyote vya siasa na pia burudaniEeenHeeee,
Unazungusha kichwa sana wewe mtu.
Lakini katika hili naiona halisi ya dhamira ya moyo wako.
Unafanya uonekane katika picha tofauti na uliyozoeleka kwayo hapa JF.
Ugaidi unao wewe acheni ushetani wa kuwabambikia kesi za ugaidi wakati hakuna ugaidi na haujawahi kuwepoNa huyu gaidi vipi bwasheeView attachment 1962025
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuwabambikia kesi wapinzani huku akiwapora majimbo kubaka kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniNa huyu nae unamkumbuka kwa lipi?View attachment 1961993
Ujinga ni kile kitendo cha kuwabambikia kesi wapinzani kutengeneza kesi feki za ugaidi ambao haupo na haujawahi kuwepo,kufanya pingu mikono miguu saa 24 kuwatesa kuwapiga waseme ugaidi ambao haupo ni mateso mabaya kupata kutokea Nchini tangu Tanzania ipate uhuru wakeUjinga tu
Wivu tuu, badala ya kujifunza contributions za watanzania wenzako enzi hizo umekalia ulumumba tuu... Hivi unajua pia Club Billicanas ndiyo yalikuwa maingizo ya mwanzo kabisa ya nights clubs hapa Bongo?Ujinga tu
Wewe umefanya nini hata kwa level ya familia yako tu!Miaka yote 60 hayo ndo aliyoyafanya?
1. Disco
2. Mr. II
3. Prof.J