SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
CCM walitoa hela ndefu kumnunua huyu Msigwa wakiamini kuwa angekuwa na taarifa na vilelezo vya kuimaliza Chadema na Mbowe, wamegundua kuwa hana jipya zaidi ya habari zakuokoteza tu sasa wanamsakizia azidi kumsakama Mbowe ili ashitakiwe aziteme zile hela walizomlipa kwani mambo yakichachamaa watajitenga naye ahangaike mwenyewe na hiyo kesi.Wanaomtuma , wanamsukumiza kwa mbowe😀😀
Chadema mnajua kujifariji kweli, Tunataka kuona join the chain fedha zipo wapi?, hili likijibiwa figure to figure, kesi iendelee!Safi sana, hii imekaa kitalaamu sana. CCM ni kama shetani, anakuchochea weeeh, yakikukuta anakaa pembeni
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amempa siku tano aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, kuomba radhi na kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu na kuharibu chapa yake kutokana na matamshi ya Msigwa yaliyotolewa hadharani baada ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika barua (notisi ya madai) iliyotolewa Septemba 2, 2024 ikiwa na sahihi ya tarehe 4 Septemba, 2024, mawakili wa Mbowe ambao ni Hekima Mwasipu na wenzake kutoka Matwiga Law Chambers, Msigwa anadaiwa kutoa matamshi ya uongo na kumchafua Mbowe mbele ya umma.
“Msigwa alitumia majukwaa ya mikutano, vyombo vya habari, na hata mitandao ya kijamii kutoa madai ya kumkashifu mteja wetu,” ameleza Wakili Mwasipu.
Imeelezwa kuwa Msigwa alidai kuwa Mbowe ameanzisha "Mbowe Foundation," na anatumia chama cha CHADEMA kwa manufaa yake binafsi. Katika moja ya mikutano yake, Msigwa alinukuliwa akisema, "Mwenyekiti wa CHADEMA amegeuza chama kuwa SACCOS, fedha za chama zinaishia kwenye taasisi binafsi na si kwenye akaunti za chama.”
Mawakili wa Mbowe wameeleza kuwa matamshi hayo yameathiri sifa ya Mbowe ndani na nje ya Tanzania, hasa kutokana na nafasi zake mbalimbali kimataifa, ikiwa ni pamoja na kuwa Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia vya Afrika (DUA).
“Mteja wetu anaona maneno yote yanayozungumzwa na kunukuliwa hapo juu katika maana yake ya asili, muktadha na misemo kuwa ni kashfa, dharau na kudhuru sio tu sifa yake binafsi bali pia kwa familia yake yote, marafiki, taaluma (Siasa), Jumuiya ya Biashara, Jumuiya ya Kidini, marafiki na rika. Maneno haya si chochote lakini ushahidi dhahiri wa nia mbaya dhidi ya mteja wetu”, imeelezwa na mawakili.
Mbali na hilo, Msigwa alidai kuwa CHADEMA Digital ambayo ni huduma ya usajili wa wanachama, inamilikiwa na kampuni binafsi na kwamba Mbowe anatumia fedha za chama kwa manufaa binafsi.
“Hali hii imeleta hasara kubwa kwa mteja wetu kwani sifa yake ya kiongozi wa kisiasa, mfanyabiashara na mwanafamilia imeathirika sana,” alisema Mwasipu.
Kwa mujibu wa notisi hiyo, Msigwa anatakiwa kuomba radhi kupitia machapisho katika magazeti mawili; moja lenye kuweza kufikia nchi nzima na lingine ambalo linaweza kuwafikia watu walau wa kanda, na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5, la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Pia soma
- Freeman Mbowe amdai Mchungaji Peter Msigwa bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafulia jina lake
- Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza
- Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA
- Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!
- Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
- Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi
View attachment 3088476View attachment 3088473View attachment 3088474View attachment 3088475
ignoredHapa hapa ndipo pahala sahihi PA wana chadema wenye maulizo na madukuduku yao tutapata maelezo ambayo hapo hawali ilikuwa ngumu sana kuhoji,, wapo viongozi ndani ya chadema tena waandamizi wanashindwa kuhoji, maana kuhoji tu, na hatari sana, hili la kutokuhoji linapelekea baadhi kwa siri wanakusudia kuhama chama.
Na hata huu mpango wa kulipa hiyo fedha mbowe anayoidai , umeandaliwa Na ccm ili kummaliza msigwaCCM walitoa hela ndefu kumnunua huyu tumbili Msigwa wakiamini kuwa angekuwa na taarifa na vilelezo vya kuimaliza Chadema na Mbowe, wamegundua kuwa hana jipya zaidi ya habari zakuokoteza tu sasa wanamsakizia azidi kumsakama Mbowe ili ashitakiwe aziteme zile hela walizomlipa kwani mambo yakichachamaa watajitenga naye ahangaike mwenyewe na hiyo kesi.
Tuhuma zilikuwa kwa upana na ujumla mkuu, kama ulikuwa unamsikiliza Msigwa! General claim, without sorted out.ignored
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amempa siku tano aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyassa, Mchungaji Peter Msigwa, kuomba radhi na kulipa fidia ya shilingi bilioni 5 kutokana na madai ya kumkashifu na kuharibu chapa yake kutokana na matamshi ya Msigwa yaliyotolewa hadharani baada ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika barua (notisi ya madai) iliyotolewa Septemba 2, 2024 ikiwa na sahihi ya tarehe 4 Septemba, 2024, mawakili wa Mbowe ambao ni Hekima Mwasipu na wenzake kutoka Matwiga Law Chambers, Msigwa anadaiwa kutoa matamshi ya uongo na kumchafua Mbowe mbele ya umma.
“Msigwa alitumia majukwaa ya mikutano, vyombo vya habari, na hata mitandao ya kijamii kutoa madai ya kumkashifu mteja wetu,” ameleza Wakili Mwasipu.
Imeelezwa kuwa Msigwa alidai kuwa Mbowe ameanzisha "Mbowe Foundation," na anatumia chama cha CHADEMA kwa manufaa yake binafsi. Katika moja ya mikutano yake, Msigwa alinukuliwa akisema, "Mwenyekiti wa CHADEMA amegeuza chama kuwa SACCOS, fedha za chama zinaishia kwenye taasisi binafsi na si kwenye akaunti za chama.”
Mawakili wa Mbowe wameeleza kuwa matamshi hayo yameathiri sifa ya Mbowe ndani na nje ya Tanzania, hasa kutokana na nafasi zake mbalimbali kimataifa, ikiwa ni pamoja na kuwa Naibu Mwenyekiti wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia vya Afrika (DUA).
“Mteja wetu anaona maneno yote yanayozungumzwa na kunukuliwa hapo juu katika maana yake ya asili, muktadha na misemo kuwa ni kashfa, dharau na kudhuru sio tu sifa yake binafsi bali pia kwa familia yake yote, marafiki, taaluma (Siasa), Jumuiya ya Biashara, Jumuiya ya Kidini, marafiki na rika. Maneno haya si chochote lakini ushahidi dhahiri wa nia mbaya dhidi ya mteja wetu”, imeelezwa na mawakili.
Mbali na hilo, Msigwa alidai kuwa CHADEMA Digital ambayo ni huduma ya usajili wa wanachama, inamilikiwa na kampuni binafsi na kwamba Mbowe anatumia fedha za chama kwa manufaa binafsi.
“Hali hii imeleta hasara kubwa kwa mteja wetu kwani sifa yake ya kiongozi wa kisiasa, mfanyabiashara na mwanafamilia imeathirika sana,” alisema Mwasipu.
Kwa mujibu wa notisi hiyo, Msigwa anatakiwa kuomba radhi kupitia machapisho katika magazeti mawili; moja lenye kuweza kufikia nchi nzima na lingine ambalo linaweza kuwafikia watu walau wa kanda, na kulipa fidia ya Shilingi bilioni 5, la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.
Pia soma
- Freeman Mbowe amdai Mchungaji Peter Msigwa bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafulia jina lake
- Peter Msigwa: Msajili wachunguze CHADEMA, wana vikundi vinaitwa ZOO na JOB. Mbowe ni Nkurunziza
- Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA
- Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!
- Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini
- Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi
View attachment 3088476View attachment 3088473View attachment 3088474View attachment 3088475
political statements and accusations has no impact lawfully politically speaking 🐒1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation

Ukilawitiwa kwa lazima na mpinzani wako wa kisiasa utamsamehe? Tuanzie hapoSasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
Wewe unadhani thamani ya utu wa mtu ni shilingi ngapi?Hivi kuna aliedai 5b na akalipwa?
Haya ni maigizo tu
Omba fidia ila usijipangie bei ya mabilioni, kwani tunajua hakuna wa kulipa 5b kisa kutukanwa
Ila sijui labda mnazo
Afadhali yeye kuliko wale watekaji wa wachana picha.Sasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
Umesoma kilichoandikwa??Ingependeza iwapo angeenda Mahakamani kumshataki kabisa badala ya kutoa hilo agizo lake kiSiasa.
Manake hajatoa maelekezo kwamba huo msamaha aombe Kwa njia ipi
Lakini pia hizo 5B anazomdai zilipwe Kwa muda gani
PricelessWewe unadhani thamani ya utu wa mtu ni shilingi ngapi?
Ndio zinajibiwa hivyo. Mahakamani!!Lakini Lisu alishasema hoja za msigwa zijibiwe.
Subiri ndo utajua hujui...msigwa sijui ataotoa wapi 5bKesi za kisiasa hizo zitaisha kisiasa. Msigwa aendelee kupiga spana huyo Mbowe.
Lissu alisema ofisi ya katibu mkuu (Mnyika) ndyo inapaswa kujibu hizo hoja kwasababu ni swala la nyaraka na sio maneno tu.Ndio zinajibiwa hivyo. Mahakamani!!