Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ila ni aibu sana kuendeshwa na mtu kama Amos MakalaKinachomponza ni kwamba anamtumikia kafiri apate mradi wake, wakati huo huo CCM nao wanafunika kombe mwanaharamu apite.
Siyo kwamba hajui namna ya kufanya siasa zake, bali amesetiwa kama roboti. Anafanya wanachotaka kina Makalla.
Yaani credibility yote ya Msigwa imeondoka ghafla tu