Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kinachomponza ni kwamba anamtumikia kafiri apate mradi wake, wakati huo huo CCM nao wanafunika kombe mwanaharamu apite.

Siyo kwamba hajui namna ya kufanya siasa zake, bali amesetiwa kama roboti. Anafanya wanachotaka kina Makalla.
Ila ni aibu sana kuendeshwa na mtu kama Amos Makala

Yaani credibility yote ya Msigwa imeondoka ghafla tu
 
Wewe si "learned brother" mwenzao, unataka kusema hao jamaa wamekosea? Nadhani "Entity" hapo ni hao Matwiga. Au siyo wakili msomi!!

Nadhani wanamaanisha kuwa yeyote kati ya hao ataweza kusimama mahakamani. Mtazamo wako wa kisheria katika hili ukoje?
Mkuu, mimi si tu Wakili...hao waliotajwa hapo ni rafiki na ndugu zangu. Yupo Wakili Simon Shundi Mrutu hapo ambaye nimesoma naye shahada ya kwanza; wapo Mndeme na Mwasipu niliwatangulia darasa pale UDSM.

Hoja yangu ni kuwa kwakuwa mwanzo mwa barua walijitaja wote, ingependeza kama wangeisaini hiyo barua/notisi wote. Au, mwanzoni ingetajwa tu kampuni ya Uwakili na hata kutumia wingi katika kueleza na mwishoni kusainiwa na wakili yeyote wa kampuni hiyo.

Hakuna jambo la kutisha lakini mkuu kwenye kusainiwa hivyo. Just curious...
 
From law technical side, tujadili

Mbowe ataweza kuthibitisha defermation?

sheria inasemaje? soma hapa

A crucial question arising from this line of argument is, who between the appellant and the respondent had a duty to establish the falsity or truthfulness of this allegation? In Uhuru Muigai Kenyatta v Baraza Limited [2011] eKLR Rawal J (as she then was) it was held that the information that causes the defamation, will be assumed to be untrue until the defendant proves otherwise. The onus to prove that the statement is true does not rest on plaintiff; it rests on the defendant.
Not in this country, otherwise Bashe ndio angetakiwa atoe ushahidi kwa Mpina!
 
Ila ni aibu sana kuendeshwa na mtu kama Amos Makala

Yaani credibility yote ya Msigwa imeondoka ghafla tu
Alishafikia kwenye ukingo wa kufilisika kabisa... ni kama kaokolewa na hao wanaomtumia kwa sasa. Unapoona mtu wa hadhi ya Profesa anakiri hadharani kwamba aliokotwa jalalani, watu kama kina Msigwa itakuwaje?
 
Sasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
akathibitishe madai yake mbele ya mahakama. wala siyo comprison analysis hapa
 
Aliyosema Mchungaji ni mambo ambayo yanaonekana ni yeye tu bw.Mbowe aweze kujificha.chama anadai ni cha kidemokrasia lakini ni mara ya 5 anang'ang'ana kwenye kichwa lazima ana jambo lake.na kwa taarifa yenu sasa mbowe ndiye mwenye kukiongezea ccm pumzi tangu zamani na kwa sababu hii ccm itadumu sana hata mbowe atakapoirudia nchi.
 
Msigwa anafutata nyayo za "mwanaharakati huru" Cyprian Majura Nyamagambile Musiba.
44599261.jpg
 
Mkuu, mimi si tu Wakili...hao waliotajwa hapo ni rafiki na ndugu zangu. Yupo Wakili Simon Shundi Mrutu hapo ambaye nimesoma naye shahada ya kwanza; wapo Mndeme na Mwasipu niliwatangulia darasa pale UDSM.

Hoja yangu ni kuwa kwakuwa mwanzo mwa barua walijitaja wote, ingependeza kama wangeisaini hiyo barua/notisi wote. Au, mwanzoni ingetajwa tu kampuni ya Uwakili na hata kutumia wingi katika kueleza na mwishoni kusainiwa na wakili yeyote wa kampuni hiyo.

Hakuna jambo la kutisha lakini mkuu kwenye kusainiwa hivyo. Just curious...
Yes. Hoja yangu je inaweza ikawa ni sehemu ya pingamizi. Yaani wakili wa utetezi akatuama kwenye hiyo "Technical Error" ili kufanya shauri litupiliwe mbali.

Maana nazikumbuka zile "Technicalities" kwenye Kesi ya CHADEMA dhidi ya Zitto Kabwe zilizowafanya CHADEMA wabutwae na kumpa Albert Msando umaarufu.
 
Sasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
Wewe politcal tolerance ya kwako ni ya kiwango gani?? Mtu adhallilishwe akae kimya kisa political tolerance??. Muda ukifika itabidi na wewe huwe shahidi muhimu kwenye hii case.
 
Back
Top Bottom