Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)

Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.

Screenshot_2024-12-19-22-21-17-1.png

Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila kitakachozungumzwa.

Usiondoke JF

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)

Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.

View attachment 3181197

Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila kitakachozungumzwa.

Usiondoke JF

Amefanya Kazi nzuri Sana .

Bila shaka anatangaza kuachia nafasi na kumpa ndugu yetu TAL kipenzi cha watanzania na sauti ya wasio na sauti.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)

Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.

Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila kitakachozungumzwa.

Usiondoke JF
Mungu baba Ibariki CHADEMA na watu wake wote 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Jambo jema tunalotegemea kusikia kutoka kwa Mbowe ni kuwa hagombei uenyekiti.

Huu ndiyo utakuwa uamuzi mwema utakaokiacha chama salama. Kinyume na hapo chadema is no more!
Hahaha huu mtizamo ,mbaya sana. Yani mtu dhaifu hamtaki agombee? Lisu ni mahiri na nitegemeo kwanini wafuasi wake hawataki agombee?

"Mbowe ampishe" ? kwanini afanye hivyo badala ya kugombea ashindwe?

Chadema ,hamtaki Demokrasia, Mkiondoa DE kwenye CHADEMA mnabaki na CHA-MA.

Hachaneni na mawazo hayo, haki inapatikana kwa kushindana kwa uwazi na haki.
 
Tupo hapa, press conference zimekuwa nyingi mno kisa uchaguzi wa mwenyekiti tu...
 
Back
Top Bottom