Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)

Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.


Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila kitakachozungumzwa.

Usiondoke JF


Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM
 
Back
Top Bottom