Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)
Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.
View attachment 3181197
Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila kitakachozungumzwa.
Usiondoke JF
Usiondoke JFAmefanya Kazi nzuri Sana .
Tunategemea atasema inatosha hii ndo Kauli pekee ambayo people , they need to hear from him.
Kama atastaafu, ataeleweka kwa wengi ingawa itategemea nini kitafuata
Kisa kakataa hela chafu ya Mama Abdul.Asije akajiroga Kumuachia Lissu Chama .kwa hakika akifanya hivyo atabubujikwa na machozi ya Majuto Maisha yake yote yaliyobakia hapa Duniani.
Mungu baba Ibariki CHADEMA na watu wake wote 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida)
Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam.
Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila kitakachozungumzwa.
Usiondoke JF
AmenMungu baba Ibariki CHADEMA na watu wake wote 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hahaha huu mtizamo ,mbaya sana. Yani mtu dhaifu hamtaki agombee? Lisu ni mahiri na nitegemeo kwanini wafuasi wake hawataki agombee?Jambo jema tunalotegemea kusikia kutoka kwa Mbowe ni kuwa hagombei uenyekiti.
Huu ndiyo utakuwa uamuzi mwema utakaokiacha chama salama. Kinyume na hapo chadema is no more!
Kwa sababu gani?Asije akajiroga Kumuachia Lissu Chama .kwa hakika akifanya hivyo atabubujikwa na machozi ya Majuto Maisha yake yote yaliyobakia hapa Duniani.
No kabisa aisee. Lissu ni mzuri sana na ana haki kidemokrasia, ila kwa jicho la tatu asubirie kidogo labda hadi 2029.Kama atastaafu, ataeleweka kwa wengi ingawa itategemea nini kitafuata