Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

Chadema kwa Mbwembe kama serikali ya awamu ya 6 kwa hayo mabarakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji😂😂😂
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja familia yake katika kipindi hiki kigumu kwao. 🙏🏾
 
Nimekuwekea uzi wa tamko la Serikali kuhusu uvaaji wa barakoa. Chukua hatua muafaka usiwe bendera fuata upepo ukiona wengi hawavai basi nawe usivae. Kuwa mfano kwanini watu wakuige wewe badala ya wewe kuwaiga wao.

Mkuu umepita masokoni,shuleni,minadani au toka umetoka asubuhi mpk unarudi nyumbani umekutana na waliovaa barakoa wangapi? Unajua kama kitu kinafanyika serious hatua zinachukuliwa kwa pamoja lakini kikundi kimoja kinapojifanya kuchukua hatua na kuacha kundi kubwa likiamua lenyewe inakuwa ni kichekesho tu.

Serikali hii kama ipo kulinda watu wake kweli bhasi Mungu ataona dhamila zao mioyoni mwao lakini kama wako na akili za kupata mikopo na fedha za Covid relief funds bhasi rahana ziwe juu yao
 
ni kweli , lakini ikabidi awahishwe kwa chopa ili awepo msibani , usisahau pia kwamba Mbowe ni bilionea
Ni Kweli na tena hela alikuta toka azaliwe baba yake mzee Haikaeli ndio walikua wanamsaidia Nyerere Nauli kwenda UNO ndio maana Nyerere na Ujamaa wake alikuwa hamsumbui mzee Haikaeli.Watu wanamchukuli Mbowe ki simple sana Siasa ni kitu tu iko damuni lakini sio mtu wa kufikiria hela ya mboga.Hata yule mpumbafu aliyeng'oa mimea yake alikuwa anamkuna tu tembo mgongoni hawezi sikia maana ngozi ngumu
 
Mkuu umepita masokoni,shuleni,minadani au toka umetoka asubuhi mpk unarudi nyumbani umekutana na waliovaa barakoa wangapi? Unajua kama kitu kinafanyika serious hatua zinachukuliwa kwa pamoja lakini kikundi kimoja kinapojifanya kuchukua hatua na kuacha kundi kubwa likiamua lenyewe inakuwa ni kichekesho tu.

Serikali hii kama ipo kulinda watu wake kweli bhasi Mungu ataona dhamila zao mioyoni mwao lakini kama wako na akili za kupata mikopo na fedha za Covid relief funds bhasi rahana ziwe juu yao
Rahana ndiyo nini mkuu?
 
Back
Top Bottom