Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

Chadema kwa Mbwembe kama serikali ya awamu ya 6 kwa hayo mabarakoa utadhani madoctor wa chumba cha upasuaji😂😂😂
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja familia yake katika kipindi hiki kigumu kwao. 🙏🏾
 
Nimekuwekea uzi wa tamko la Serikali kuhusu uvaaji wa barakoa. Chukua hatua muafaka usiwe bendera fuata upepo ukiona wengi hawavai basi nawe usivae. Kuwa mfano kwanini watu wakuige wewe badala ya wewe kuwaiga wao.

 
ni kweli , lakini ikabidi awahishwe kwa chopa ili awepo msibani , usisahau pia kwamba Mbowe ni bilionea
Ni Kweli na tena hela alikuta toka azaliwe baba yake mzee Haikaeli ndio walikua wanamsaidia Nyerere Nauli kwenda UNO ndio maana Nyerere na Ujamaa wake alikuwa hamsumbui mzee Haikaeli.Watu wanamchukuli Mbowe ki simple sana Siasa ni kitu tu iko damuni lakini sio mtu wa kufikiria hela ya mboga.Hata yule mpumbafu aliyeng'oa mimea yake alikuwa anamkuna tu tembo mgongoni hawezi sikia maana ngozi ngumu
 
Rahana ndiyo nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…