Freeman Mbowe asimikwa kuwa Mtemi Isike huko Tabora

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni baada ya Wazee wa Tabora kumfananisha na Wapigania Uhuru wa enzi zile za kumng'oa Mkoloni , jambo hili lina maana kubwa sana kwa mwanasiasa yeyote.

Mbowe yuko Mkoani Tabora kama sehemu ya Ziara ya Kanda ya Magharibi katika Mkakati wa Chadema wa Operesheni haki , ambayo inapigania Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi

Ho
Hongera mtemi Mbowe tunakusikiliza tupe mwelekeo.
 
Huyu fala ndo alikuwa anataka kushindana na mtemi Mbowe! Punda huyu. Ngoja wamfunue kitabu huko jela
 
Upuuzi mtupu, mchaga wa machame nkuu kati leo awe mtemi?. Mmekwenda kujipendekeza kwa kina Sukuma gang kuomba uungwaji mkono. Punguani tu ndio mnaweza kuwashika masikio.
 
Upuuzi mtupu, mchaga wa machame nkuu kati leo awe mtemi?. Mmekwenda kujipendekeza kwa kina Sukuma gang kuomba uungwaji mkono. Punguani tu ndio mnaweza kuwashika masikio.
njia fupi ni kujinyonga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…