Freeman Mbowe asimikwa kuwa Mtemi Isike huko Tabora

Naona wachaga wa kanda ya ziwa wakimsimika Big Mangi na mwenyekiti wa chama cha kutetea haki zao
Inavyoonekana kwa karibu wiki na nusu hivi haupati usingizi kabisa.
Ndugu ukiendelea hivi utajikuta uko Mirembe bure kwa mambo yalokuzidi kasi.
Mwone daktari haraka.
 
Inavyoonekana kwa karibu wiki na nusu hivi haupati usingizi kabisa.
Ndugu ukiendelea hivi utajikuta uko Mirembe bure kwa mambo yalokuzidi kasi.
Mwone daktari haraka.
😆😆😆😆
 
Hili tapeli katiili jizi na jambazi sugu joka la malyenfge
 
mchaga na Wanyamwezi wapi na wapi, hao ni wachaga wenzake wanafanya maigizo tu hapo
Kwetu ni Tabora, na mwaka 2010 nilijikita sana kwenye kampeini za uchaguzi kuin'goa CCM nikaambulia sifuri. Kwa Tabora kusema wanamsimika Mbowe kuwa Chifu wa Unyanyembe ni maigizo matupu.
 
Kwetu ni Tabora, na mwaka 2010 nilijikita sana kwenye kampeini za uchaguzi kuin'goa CCM nikaambulia sifuri. Kwa Tabora kusema wanamsimika Mbowe kuwa Chifu wa Unyanyembe ni maigizo matupu.
Sasa Lipumba angewezaje kuing'oa ccm ?
 
Sasa Lipumba angewezaje kuing'oa ccm ?
mwaka 2010 nilikuwa CHADEMA damudamu, mgombea wetu wakati huo alikuwa Dr. Slaa na nyota yake ilikuwa inang'ara sana wakati huo. Fanya mrejeo wa posts zangu hapa JF mwaka 2008 hadi 2012.
 
Anatumia ruzuku kutengeneza muvi,nyie makamanda najua mna hali ngumu
 
Kwetu ni Tabora, na mwaka 2010 nilijikita sana kwenye kampeini za uchaguzi kuin'goa CCM nikaambulia sifuri. Kwa Tabora kusema wanamsimika Mbowe kuwa Chifu wa Unyanyembe ni maigizo matupu.
Kwani ule ulikuwa uchaguzi?
 
Huu ndio mwanzo wa hofu yao
 
Mbowe anapigania tumbo lake lishibe na sku mbowe akikaaa kimya CHADEMA CHALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…