SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Mbowe wa chumbani kwako siyo...?

Kumbe mnamwogopa "Mbowe?" Kumbe ndiyo shida yenu?

Mmeula wa chuya...
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Choicevariable, kiparakipya, stroke, The BigShow, Malaria, Lucas mmenoaaaaaa!!!
 
Nakumbuka wakati nipo mdogo,kila uchaguzi Zanzibar CUF wanasema wanaonewa,wanapanga maandamano. Siku mbili kabla ya tarehe ya kuandama Seif Sharif Hamad anaitwa kwenye "Maridhiano" ya amani..

TBT, nimekumbuka kauli ya mahita "Kama nyie CUf ngangari,sisi police Ngunguli"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…