Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Ninawagawa wapiga kura katika makundi makuu matatu
1. Viongozi waandamizi
2. Baraza la wanawake
3. Baraza la vijana
FAM anatarajiwa kushinda kwa kutumia kundi la kwanza na la pili maana ndio wanufaika wakubwa wa Mwenyekiti FAM na endapo mabadiliko ya uongozi wa juu utabadilika (Mwenyekiti) itasababisha wao kushindwa kupata mafungu yao ya kila mara kuanzia miaka ya nyuma hadi sasa
Kwahiyo kupitia hayo makundi FAM atawekeza nguvu nyingi kwa viongozi wa kada mbalimbali na hivyo kupelekea kushinda kwa asilimia kubwa....
Lakini kundi la tatu ambao ni vijana wanahitaji siasa zenye ukali maana wao wana nguvu na hawahitaji Pesa yoyote zaidi ya misimamo mikali ambayo TAL anaonekana anaiweza
Hivyo basi kutokana na TAL ana nguvu kutoka kwa kundi moja Mimi naona hatoweza kumshinda FAM
Pia,kama tunavyowajua waTz wengi wao wanapendwa kuhonga na kujipatia hela kipindi cha uchaguzi...na sioni kama TAL atatoa hata mia kwa ajili ya kupigiwa kura lakini ni tofauti na FAM ana uwezo wa kutoa na ana uhakika wa kuirudisha pindi tu atakapo endelea kuwa Mwenyekiti wa CDM....
Tutegemee chama kikishuka mvuto endapo FAM akishinda na kitatumia nguvu sana kuwashawishi watu wakikubali kwenye jamii....
Hii ni Fursa kwa ACT WAZALENDO kutumia nafasi hii kuingia kwenye mioyo ya waTZ maana huu ni Mwisho wa CDM....
Ukiona ADUI wanakusifia ujue kuna sehemu umekosea... kwahiyo FAM kuna sehemu amekosea maana NAPE na KIGWANGALA wanamsifia na kumtaka aendelee kuwa Mwenyekiti.