Freeman Mbowe atamshinda Tundu Antipass Lissu kwa sababu zifuatazo..!

hao unaowazungumzia wote hawajaonekana nyumbani kwa Mbowe wakimtaka agombee uenyekiti wala kurejesha form, walienda chawa flani tu ivi ata si wapiga kura? nadhan mbowe ataangukia pua, uko mikoani kote wamesema kwa Mbowe imetosha wampishe lissu alete mambo mapya kukiokoa chama
 
Kwani mbowe kukaaa madarakani miaka 20 Sawa?
Yes, ni sawa, amekaa kwa ridhaaya kura za wahusika. Is there any wrong?
Mimi sina ushabiki...Lisu alikuwa mwanasiana nnayempenda sana untill recently alipokengeuka. Sasa chadema ni vipande viwili, wenye akili za kawaida wanaliona hilo! CHANZO NI LISU UCHU WA MADARAKA
 
Kwa maoni yangu Mimi naona chanzo ni mbowe kuifanya chadema kama chumba chake cha kulala
 
Chama hivi hakiwezi kupoteza umaarufu eti Mbowe ameshinda uenyekiti, sasa hivi na miaka 20 iliyopita alikuwa m/kiti na CDM ndio imekuwa sana.
 
Bandiko halina utafiti wowote. Ungetakiwa useme:
1. Katiba yao inasemaje kuhusu namna ya kuchagua viongozi wa juu;
2. Idadi ya wajumbe wenye haki ya kupiga kura kwa kila kundi;
3. Uwezekano (scenario) za ushindi wa hao wagombea wawili;
4. Mwisho uhitimishe kuendana na uchambuzi huu ...
 
Hana busara, angekuwa na busara asingeendelea kung'ang'ania madaraka wakati wafuasi wameshamkinai.
CCM wametaka awasaidie ili Lissu asiingie kama mwenyekiti, ulitaka awakatalie ilhali ana biashara zake na hataki yamkute ya kipindi kile cha JPM?
 
Mbowe ndio yupo on the track ya kuiua na kuikuza chadema.
All options is on his table.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…