mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Aibu kubwa wakishindwa kuthibitisha, watu husema gerezani siku moja yahesabika 2, hivyo 90*2; 180 siku miezi Sita!
Huko wapo wengi mahabusu, wathibitishe kwa wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu kubwa wakishindwa kuthibitisha, watu husema gerezani siku moja yahesabika 2, hivyo 90*2; 180 siku miezi Sita!
Mkuu uko mbali mno na mambo ya kisheria.Sabaya kahukumiwa kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha kwa mujibu wa sheria.Hata kama angempora mtu elfu moja ila kama silaha ilitumika kwa namna yoyote ile wakati wa tukio basi adhabu yake iko wazi.Sabaya amefungwa miaka 30 kwa kuhisiwa kuiba simu ya Tecno na laki 3
Pole Kamanda Mbowe. "Don't give up. Mandela was locked up for 27 years. We are showering prayers on you".View attachment 1978393
Leo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe , na baadaye kutengenezewa Mashitaka ya kutunga ya Ugaidi .
Miezi mitatu kwa kesi ya uongo ya ugaidi ya kutengenezwa na Kingai si jambo jepesi , Bali ukweli uko wazi kwamba KATIKA DUNIA HII HAKUNA MAHALI POPOTE PALE AMBAPO SHETANI AMEWAHI KUMSHINDA MUNGU , Ikumbukwe pia kwamba KILA UBAYA UTALIPWA .
AminaPole Kamanda Mbowe. "Don't give up. Mandela was locked up for 27 years. We are showering prayers on you".
Hamza alifadhili ugaidi wapi?Maana Mbowe anadaiwa kufadhili vitendo vya ugaidi kwa gharama ya shilingi laki sita.
Na bado kifungo kinamgoja. Azoee tuLeo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba Mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe, na baadaye kutengenezewa mashitaka ya kutunga ya ugaidi.
Miezi mitatu kwa kesi ya uongo ya ugaidi ya kutengenezwa na kingai si jambo jepesi, bali ukweli uko wazi kwamba katika dunia hii hakuna mahali popote pale ambapo shetani amewahi kumshinda mungu, ikumbukwe pia kwamba kila ubaya utalipwa.
View attachment 1978393
Hawa wote ndo amewafadhili kwa Tsh laki sita?
Umedanganywa kizembe sanaNa bado kifungo kinamgoja. Azoee tu
Wewe na ukoo wako woteinatakiwa akae miaka 100 hizo siku 90 ni kiduchu sn
Leo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba Mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe, na baadaye kutengenezewa mashitaka ya kutunga ya ugaidi.
Miezi mitatu kwa kesi ya uongo ya ugaidi ya kutengenezwa na kingai si jambo jepesi, bali ukweli uko wazi kwamba katika dunia hii hakuna mahali popote pale ambapo shetani amewahi kumshinda mungu, ikumbukwe pia kwamba kila ubaya utalipwa.
View attachment 1978393
Watashindana na mh mbowe lkn hawatashinda soon atakuwa freeLeo ni miezi mitatu kamili tangu kukamatwa kwenye masuala ya kongamano la Katiba Mpya na kurundikwa rumande kwa mwamba Mbowe, na baadaye kutengenezewa mashitaka ya kutunga ya ugaidi.
Miezi mitatu kwa kesi ya uongo ya ugaidi ya kutengenezwa na kingai si jambo jepesi, bali ukweli uko wazi kwamba katika dunia hii hakuna mahali popote pale ambapo shetani amewahi kumshinda mungu, ikumbukwe pia kwamba kila ubaya utalipwa.
View attachment 1978393
Mahakamani Leo macho yamemvimba sana, sijui nini kimemsibu kijana pendwa wa bwana jiweNimepokea habari kutoka Gerezani Kisongo, kuwa Ole Sabaya sio bikira tena jana usiku wamemla.
View attachment 1978754
Mmasai kapakatwa jana😂😂😂😆Mahakamani Leo macho yamemvimba sana, sijui nini kimemsibu kijana pendwa wa bwana jiwe
Povu linaruhusiwaKatika dunia Hii kama kweli unaijua historia. Shetani anapeta sana na watu Wema wengi wanakufa bila kupata raha za dunia. Kwa wakristo huzungumzia ubebaji wa msalaba. Ushindi wa Mungu sio wa mawazo yako. Shetani yupo na waliofanikiwa sana kidunia wamebebwa naye. Ulaya Sasa hawataki kabisa kusikia habari za Mungu. So stop your nonsense. Haki ya MUNGU anaijua yeye zaidi. Wewe umeshajaji na kuhukumu. Are you God? Je wewe unamjua zaidi Mbowe kuliko Mungu anavyomjua. Kila mwanadamu Ana makosa yake. Tusimwingize Mungu Kati. Magugu na mazao huachiwa kukua mpaka siku ya mwisho.
Kama unamjua kweli Mungu. Sali mwombee Mheshimiwa Mbowe. Haki itendeke. Just remember. Ukweli na haki ya kimahakama sio absolute haki na Ukweli. Mazingira yashawafunga wengi sana wasiohusika. Lakini ndo sheria ilivyo. Atakayevumilia mpaka mwisho ndo atakayeokoka. Neno linasema.