Freeman Mbowe atimiza siku 90 mahabusu

The guy alidhani hatuwezi kuishi bila yeye, but hali ni tofauti sasa. Watu tunadunda tu mtaani.,
All in all jamaa ana dharau sana. Kwa kwamba baada ga kifo cha alidhani anaweza fanya chochote nchi hii hadi kumpangia rais mambo ya kufanya.
Utajua hujui muda si mrefu
 
Mbona nyie wafuasi wa Mbowe mnapenda kulalamika mnaonewa, mnabambikiwa kesi lakini wafuasi wa ccm wakikamatwa na kushtakiwa mnashangilia nakufurahi mahakama inatenda haki acheni unafiki na uwongo
 
uliwahi kusikia ugaidi umefadhiliwa kwa dola 260.....inaonekana ulivyomaliza chekechea ukaona umehitimu chuo kikuu
Unaongea kitu gani mkuu?

Mimi nikikuita kwa lengo la kupanga mauaji na nikakulipia lodge ya 10,000 na chakula cha 3000 pamoja na nauli 5000 na ela ya usumbufu 20,000 jumla 38,000 tayari nakua na hatia ya kufadhiri mpango wa mauaji.
 
Hamza alijifadhili mwenyewe
Kumbe umeona tofauti iliyopo kati ya Hamza na Mh Mbowe.Mheshimiwa Mbowe anashtakiwa kwa kufadhili vitendo vya kigaidi kwa gharama ya shilingi laki 6 kwa mujibu wa charge sheet.

Yaani makomandoo wa JW wanafadhiliwa kwa gharama ya laki sita kuchoma vituo vya mafuta.Hata wahuni wa mtaani tu hawawezi kukubali kufadhiliwa kwa kiasi cha laki 6.
 
Hiyo ilikuwa nauli ya kwenda kufanya kazi halafu wale ni makomando waliofukuzwa kazi jw
 
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Hiyo ilikuwa nauli ya kwenda kufanya kazi halafu wale ni makomando waliofukuzwa kazi jw
Kwahiyo kwenye hati ya mashitaka imeandikwa ilikuwa nauli?Hujui hati ya mashitaka ndo inabeba sura ya kesi nzima?
 
Unaongea kitu gani mkuu?

Mimi nikikuita kwa lengo la kupanga mauaji na nikakulipia lodge ya 10,000 na chakula cha 3000 pamoja na nauli 5000 na ela ya usumbufu 20,000 jumla 38,000 tayari nakua na hatia ya kufadhiri mpango wa mauaji.
kamuulize mwalimu wako tofauti ya ujambazi na ugaidi....
 
Vipi mtaandamana lini kumtoa kamanda🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…