Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
"Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA.
Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho j'tatu 12 Agosti.
Soma Pia:
Chama kinafuafilia kwa makini yanayoendelea na kitaendelea kuuhabarisha Umma kila linalojiri hatua kwa hatua."
Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho j'tatu 12 Agosti.
Soma Pia:
- Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi
- Msajili apiga Marufuku Kongamano la CHADEMA mkoani Mbeya, asema matamko yao yanahusisha vitendo vya uvunjifu wa amani
Chama kinafuafilia kwa makini yanayoendelea na kitaendelea kuuhabarisha Umma kila linalojiri hatua kwa hatua."