Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
dah!Hao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu
HayaHao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu
Habari mkuu Erythrocyte .View attachment 2906031
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi .
View attachment 2906028
Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
View attachment 2906029
Wasukuma ni wasomi mno !Habari mkuu Erythrocyte .
Sasa huu ujumbe Mbowe kawaandikia watu wa Mwanza?
Sidhani kabisa kama walengwa ni wasukuma na sehemu kubwa ya wakazi wa mwanza.
Pole sana
Usijatahidi kupotosha, stay positive..... ni kweli watu wa kutoka mikoa ya jirani wapo ila si wananchi au wanachama wa kawaida wanaoweza kusafiri kwa ajiri ya maandamano, viongozi wetu wa mikoani pamoja na wenzeru wachache wenye uwezo wametuwakilisha, kumbuka tunapambana na ukali wa maisha hivyo sio rahisi sana kwa sisi wa kawaida kusafiri kwa ajiri ya maandamano, wape heko yao wananchi wa Mwanza.Hao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu
HakikaUsijatahidi kupotosha, stay positive..... ni kweli watu wa kutoka mikoa ya jirani wapo ila si wananchi au wanachama wa kawaida wanaoweza kusafiri kwa ajiri ya maandamano, viongozi wetu wa mikoani pamoja na wenzeru wachache wenye uwezo wametuwakilisha, kumbuka tunapambana na ukali wa maisha hivyo sio rahisi sana kwa sisi wa kawaida kusafiri kwa ajiri ya maandamano, wape heko yao wananchi wa Mwanza.
Tunasubiri chama kitupangie na sisi tarehe ya maandamano mikoani mwetu.
Labda ile mikutano ya mwe.......zi ndio inakusanya watu, "Labda"
Asanteni Mwanza.
Kuna ubaya gani?Hao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu
Noma sana !Mbeya maandalizi tayari ✌️✌️
Sijaongelea ubayaKuna ubaya gani?
Basi kubali Maandamano yamefanyika🐼🔥Sijaongelea ubaya
Ni Imani yangu maandamano ya Mbeya, Sa100 atakuwepo nchini, labda hatosafiri🤔Mbeya maandalizi tayari ✌️✌️
Nae anakaribishwa familia ya Mbarikiwa inamsubiri kwa hamu.Ni Imani yangu maandamano ya Mbeya, Sa100 atakuwepo nchini, labda hatosafiri🤔
View attachment 2906031
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , ametoa ujumbe Maalumu kwa Wakazi wa Mwanza kama shukrani kwa kuunga mkono Maandamano ya Amani ya kupinga Ufukara na ugumu wa maisha , pamoja na Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi .
View attachment 2906028
Ujumbe wa Mbowe kwa watu wa Mwanza huu hapa
View attachment 2906029