Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu
Kama unaweza kupata watu wengi hivyo kutoka mikoa mbalimbali basi hicho chama kina mvuto wa hatari. Na hakuna wanafunzi au wafanyakazi wa umma waliolazimishwa na vyombo vya Dola kushiriki.