Freeman Mbowe awashukuru watu wa Mwanza kwa kushiriki Maandamano kwa Wingi

Hao sio wa Mwanza tu, kuna wa Mkoa wa Mara, Shinyanga, Kagera, Tabora, Simiyu, Singida, Kilimanjaro, wamekutana Mwanza tu

Kama unaweza kupata watu wengi hivyo kutoka mikoa mbalimbali basi hicho chama kina mvuto wa hatari. Na hakuna wanafunzi au wafanyakazi wa umma waliolazimishwa na vyombo vya Dola kushiriki.
 
mandamamo ya chadema yamekosa nguvu ya uma ukitiza kiundani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…