Freeman Mbowe awasili Mkoani Kagera kuhudhuria Mazishi ya Profesa Baregu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu .

Taarifa zinaonyesha kwamba Mazishi ya Profesa Baregu yatafanyika Kesho Mkoani Kagera

chadematz_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe.__@freemanmbowetz_na_Katibu_Mkuu_wa_C...jpg
 
Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu .

Taarifa zinaonyesha kwamba Mazishi ya Profesa Baregu yatafanyika Kesho Mkoani Kagera

View attachment 1823825
Anavaaje barakoa nawakati anachanjo?
 
Akili ya chini kabisa hii. Unavaa barakoa ili kuwalinda watu wengine usiwaambukize ugonjwa.
Mtu akiyechanjwa naye huwezi kupata ugonjwa wa Corona Ila tu unakuwa hauna madhara ya kumuua au kumlaza hospitali.
Kuna haja gani sasa ya kuchanjwa?
 
Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu .

Taarifa zinaonyesha kwamba Mazishi ya Profesa Baregu yatafanyika Kesho Mkoani Kagera

View attachment 1823825
MUNGU AMLINDE SANA Mwenyekiti Mbowe.
 
Back
Top Bottom