Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Hamna kituu. Chanjo gani hiyoHata ukichanjwa unashauriwa kuvaa barakoa mpaka angalau asilimia 70 au 80 ya wakazi wote wakichanjwa. Hauoni Biden aliendelea kuvaa kwa muda mrefu tu?
Amandla...
anachanjo na ndie alie jitangaza.Anaweza kuwa Carrier akawaambukiza Wengine. He is very Smart That Guy.