K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,748 Reaction score 998 Jun 20, 2021 #21 Fundi Mchundo said: Hata ukichanjwa unashauriwa kuvaa barakoa mpaka angalau asilimia 70 au 80 ya wakazi wote wakichanjwa. Hauoni Biden aliendelea kuvaa kwa muda mrefu tu? Amandla... Click to expand... Hamna kituu. Chanjo gani hiyo Pythagoras said: Anaweza kuwa Carrier akawaambukiza Wengine. He is very Smart That Guy. Click to expand... anachanjo na ndie alie jitangaza.
Fundi Mchundo said: Hata ukichanjwa unashauriwa kuvaa barakoa mpaka angalau asilimia 70 au 80 ya wakazi wote wakichanjwa. Hauoni Biden aliendelea kuvaa kwa muda mrefu tu? Amandla... Click to expand... Hamna kituu. Chanjo gani hiyo Pythagoras said: Anaweza kuwa Carrier akawaambukiza Wengine. He is very Smart That Guy. Click to expand... anachanjo na ndie alie jitangaza.
K Kiongozi mkuu2020 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 1,748 Reaction score 998 Jun 20, 2021 #22 Sky Eclat said: Sasa mvua ikinyesha utaacha mwamvuli kwakua umevaa shati? Click to expand... Kumbe chanjo ya korona siku izi mnailinganisha na shati? Kwahio kumbe hata ukichanjwa bado korona inakusigina kama kawaida?? Asante kwa taarifa
Sky Eclat said: Sasa mvua ikinyesha utaacha mwamvuli kwakua umevaa shati? Click to expand... Kumbe chanjo ya korona siku izi mnailinganisha na shati? Kwahio kumbe hata ukichanjwa bado korona inakusigina kama kawaida?? Asante kwa taarifa
W Wakudadavuwa JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 17,506 Reaction score 16,003 Jun 20, 2021 #23 Unavaa mwamvuli ndani ya nyumba? Sky Eclat said: Sasa mvua ikinyesha utaacha mwamvuli kwakua umevaa shati? Click to expand...
Unavaa mwamvuli ndani ya nyumba? Sky Eclat said: Sasa mvua ikinyesha utaacha mwamvuli kwakua umevaa shati? Click to expand...