Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi