Freeman Mbowe awatakia Maulid njema Waislam Wote .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2023-09-28-12-54-12-1.png

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ambaye anajulikana pia kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , amejitokeza hadharani kushiriki pamoja na Watukufu Waislam Mawlid al Nabi , ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A .W

Ujumbe wake huu hapa

Screenshot_2023-09-28-12-53-57-1.png
 
Tumezipokea [emoji120]

Mfikishie ujumbe wa shukran Kamarada Al Ustaadh Aboubakar Mbowe mwambie Maduka 6 Majohe Gongolamboto msikiti wa kwa Mpogo kutafanyika maulid makubwa siku ya jumamosi saa 3 usiku in shaa Allah[emoji120]

Kama kawaida yao ,ngamia wawili "wataanguka"[emoji120]

Kwa hiyo wewe na Ashaykh ul Kiraam Aboubakar Mbowe mnakaribishwa sana sana [emoji120]

Allahumma swaliy alaaa khatama tu nabiyyina wa nubuwwata walmursaliin ,sayyidina wa habibina wa maulana Muhammad ibn Abdillahi Nnuri min nnuri llahi [emoji120]

#Lidumu Taifa la Tanzania ,amen[emoji120]
 
Tanganyika inakuja , Zanzibar isharejeshwa
 
Back
Top Bottom