Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo:
1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za uongozi na utendaji na kuweka wale wanaomtii na nidhamu ya woga.
2. Kutokuwa na msimamo madhubuti katika kulinda sera za chama.
3. Kutowashirikisha kikamilifu viongozi wenzake katika maamuzi muhimu ya Chama.
4. Kutokuwa muwazi katika mambo ambayo anajadiliana na Rais/serikali.
5. Kiburi cha fedha zake katika kuendesha Chama.
6. Kutaka kupewa shukrani zisizo na ukomo kwa misaada anayotoa.
7. Kutengeneza makundi ya vijana wapambe wake.
8. Kuamini wapambe kwa kupitiliza.
9. Kudharau viongozi wenzake wasio na uwezo wa kifedha.
10. Kuamini kuwa bila yeye hakuna Chadema.