Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa malengo yao ni makubwa kuliko changamoto zinazowakabili.
“Wakati wote tukikumbuka dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki, lazima iwe kubwa kuliko kutekwa kwetu, kupoteza mali zetu na kupoteza fursa yoyote. Licha ya yote tuliyoyapitia, sote tulisimama na leo tumekuwa mashujaa,” alisema Mbowe, akionesha imani katika nguvu ya chama chake.
Akiweka wazi hali ya kisiasa nchini, Mbowe alisisitiza kwamba ukuaji wa CHADEMA unachangia mivutano ya kisiasa. “Utomvu wa nidhamu ni madhara ya kukua; ukiona chama cha siasa hakina mivutano, hicho ni chama mfu,” alisema. Aliwakumbusha wanachama wa CHADEMA kuwa, tofauti na vyama vingine vilivyoshindwa, wao wamechagua kusimama imara, badala ya kukata tamaa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ametoa wito kwa viongozi wa chama hicho kuwa na uthabiti na kutoingia kwenye hofu au kukata tamaa. Akizungumza kwenye kikao cha kazi katika Kanda ya Kaskazini, Mbowe alisema ameona roho ya kukata tamaa na hofu miongoni mwa baadhi ya viongozi waandamizi, hali ambayo haipaswi kuruhusiwa katika uongozi.
"Baada ya kuwasikiliza viongozi waandamizi, nimeona maumivu, nimeiona roho isiyokubalika ya kukata tamaa, roho ya hofu na kurejea nyuma, jambo ambalo nakemea na halipaswi kufanywa na viongozi wakati wowote," alisema Mbowe kwa msisitizo.
Mbowe aliendelea kwa kusisitiza kuwa uongozi si kazi rahisi, bali ni mzigo mzito kama msalaba. Alisema, "Uongozi ni gunia la misumari, na kwa kiongozi asiyekubali kushushwa, kukanyagwa, kutukanwa, au kudharauliwa, hawezi kuwa kielelezo sahihi cha kipimo cha uongozi."
Mbowe alihitimisha kwa kuwahimiza viongozi kuwa imara na kutokata tamaa katika juhudi za kuimarisha chama, akiwataka wawe mfano wa uvumilivu na uthabiti kwa wanachama na taifa kwa ujumla.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa malengo yao ni makubwa kuliko changamoto zinazowakabili.
“Wakati wote tukikumbuka dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki, lazima iwe kubwa kuliko kutekwa kwetu, kupoteza mali zetu na kupoteza fursa yoyote. Licha ya yote tuliyoyapitia, sote tulisimama na leo tumekuwa mashujaa,” alisema Mbowe, akionesha imani katika nguvu ya chama chake.
Akiweka wazi hali ya kisiasa nchini, Mbowe alisisitiza kwamba ukuaji wa CHADEMA unachangia mivutano ya kisiasa. “Utomvu wa nidhamu ni madhara ya kukua; ukiona chama cha siasa hakina mivutano, hicho ni chama mfu,” alisema. Aliwakumbusha wanachama wa CHADEMA kuwa, tofauti na vyama vingine vilivyoshindwa, wao wamechagua kusimama imara, badala ya kukata tamaa.
Ni kweli bila Chadema hata Barabara zinazojengwa zisingekuwapo. Wanajenga eti kwa kuwakomesha wapinzani kumbe sisi ndo tunafaidika. CHADEMA oyeeeeeeeeee!!!! Kwa hiari yao ccm wanadharau sana.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ameibukia Kanda ya Kaskazini kwenye kikao cha kazi, siku chache baada ya uzushi wa tukio la kupewa sumu. Katika hotuba yake, Mbowe alikumbusha dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki miaka 33 iliyopita, akisisitiza kuwa malengo yao ni makubwa kuliko changamoto zinazowakabili.
“Wakati wote tukikumbuka dhamira ya kuanzishwa kwa chama hiki, lazima iwe kubwa kuliko kutekwa kwetu, kupoteza mali zetu na kupoteza fursa yoyote. Licha ya yote tuliyoyapitia, sote tulisimama na leo tumekuwa mashujaa,” alisema Mbowe, akionesha imani katika nguvu ya chama chake.
Akiweka wazi hali ya kisiasa nchini, Mbowe alisisitiza kwamba ukuaji wa CHADEMA unachangia mivutano ya kisiasa. “Utomvu wa nidhamu ni madhara ya kukua; ukiona chama cha siasa hakina mivutano, hicho ni chama mfu,” alisema. Aliwakumbusha wanachama wa CHADEMA kuwa, tofauti na vyama vingine vilivyoshindwa, wao wamechagua kusimama imara, badala ya kukata tamaa.
hata katika familia mitaani huko kuna watoto huwa wanacheza michezo ya kuigiza kama wakubwa ndiyo chadema wanachokifanya ni michezo ya kitoto lakini kamwe hawawezi kushika dola wataishia kucheza michezo yao ya kitoto tu