Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina


Rudi kindergarten school...!!Shule bado sana we kilaza..!
 
Je ni ruksa kwenda kuwasabahi kina Halima na Ester pale Hospital na kuwafanyia Duaa
Wanawake wawili wamepata umaarufu mkubwa kuliko kifani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiombeee raia uwoga uwatoke
Ww unafikiri yupo wa kuwazuia watu mln 6 wkt wao wako laki 6 tu...usiombeee Hali hyo itokee
Na ikitokea wote tutajutaaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwamba hao watakuwa malaika, au!
 
Na kwamba hao watakuwa malaika, au!

Hatutafuti malaika, bali tunatafuta binadamu wanaoweza kutenda haki. Usitake kujifanya haiwezekani ili kutufanya tuendelee na tume hii inayoweza kuingiliwa na watawala.
 
Mirembe could be an ideal home for some folks who only see issues from a similar angle of view.
 
Narudia kusema hatafanya!
safari hii kiboko yao ni askari magereza cyo police.

anataka apigwe aende ulaya kutibiwa! Au afunguliwe kesi ili apige pesa kupitia mawakili jamaa ameamua kukausha account.
 
Huyu jamaa msanii kweli na anajua kucheza na akili za wanachama wake. Unatangaza Mikutano ukijua fika itazuiwa kutokana na Ugonjwa wa Corona. AKILI KUBWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…