Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaki kustaafu siasa sijachoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kamanda, siyo lazima mtazamo wako ufanane na wa kwangu. So keep it cool.
Naam mimi naandika vitu OBJECTIVE, wewe unaandika SUBJECTIVE, jifunze maana ya hayo maneno utaelewa wewe ni mjinga wa asilimia ngapi 🀣🀣🀣
 
Tale Mkuu DAWA zingine ni chungu ,ila meza tu hamna namna,kuweka emoji ya dislike haisaidii kitu.
 
Kama miaka 20 hajatimiza anachopigania ina maana ameshindwa. Pengine adui ameishazisoma mbinu zake. Akabidhi kijiti. Hatuishi milele.
 
Kwani hivi Sisi wasomi tunapozungumza ajira huwa tunamaanisha kitu gani? Naona bado kuna watu tunatamka hili neno bila ya kujua nini hasa maana yake
 
Kwani hivi Sisi wasomi tunapozungumza ajira huwa tunamaanisha kitu gani? Naona bado kuna watu tunatamka hili neno bila ya kujua nini hasa maana yake
Nimem challenge makusudi, maana inaonekana haelewi kabisa maana ya ajira.
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…