Hata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia, zimejaa ukanda/ukabila na udini. Kabla KUB hajaishambulia Serikali ni vyema akaanza kusafisha kwake kwanza...
Mifano ipo mingi sana
- Nafasi nyingi na nyeti chadema zimeshikwa na wanachama kutoka kaskazini.
- Ubunge viti maalum 2010 - mpaka leo zimejaa upendeleo kwa kupewa mahawara/ndugu/jamaa wa vigogo wa chama
1. Joyce Mukya - Kimada wa Mbowe
2. Anatropia - Kimada wa John Mrema
3. Susane Maselle - Mke wa Makene
4. Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
5. Marehemu Christina Lissu - Dada wa Tundu Lissu
6. Grace Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
7. Sabrina Sungura - Kimada wa Komu
8. Mama Maulida Anna Komu - Ndugu wa Komu
9. Rose Kamili - Alikuwa mke wa Slaa
10. Mama Lowassa - Alitaka kupendelewa akawachomolea
11. Lowassa kahamia na wanachama kibao na watatu ni wabunge viti maalum.
12. List inaendelea na ni ndefu maana Kubenea ana hawara ni viti maalum....
13. Kuna wabunge viti maalum wachaga wamepewa ubunge uwakilishi mikoa mingine, wenyeji walilalamika sana