likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Hujamsikia jana?Mheshimiwa Mbowe badala ya kuungana na wabunge wa CCM kuibana serikali kwenye masuala ya uchumi anaanzisha mjadala wa kikanda na kabila. Mbona viongozi wote waandamizi wa Chadema wanatoka kaskazini.
Hata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia, zimejaa ukanda/ukabila na udini. Kabla KUB hajaishambulia Serikali ni vyema akaanza kusafisha kwake kwanza...
Mifano ipo mingi sana
- Nafasi nyingi na nyeti chadema zimeshikwa na wanachama kutoka kaskazini.
- Ubunge viti maalum 2010 - mpaka leo zimejaa upendeleo kwa kupewa mahawara/ndugu/jamaa wa vigogo wa chama
1. Joyce Mukya - Kimada wa Mbowe
2. Anatropia - Kimada wa John Mrema
3. Susane Maselle - Mke wa Makene
4. Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
5. Marehemu Christina Lissu - Dada wa Tundu Lissu
6. Grace Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
7. Sabrina Sungura - Kimada wa Komu
8. Mama Maulida Anna Komu - Ndugu wa Komu
9. Rose Kamili - Alikuwa mke wa Slaa
10. Mama Lowassa - Alitaka kupendelewa akawachomolea
11. Lowassa kahamia na wanachama kibao na watatu ni wabunge viti maalum.
12. List inaendelea na ni ndefu maana Kubenea ana hawara ni viti maalum....
13. Kuna wabunge viti maalum wachaga wamepewa ubunge uwakilishi mikoa mingine, wenyeji walilalamika sana
Kwa Hali hii tusitegemee chama cha Upinzani kwenda Ikulu. Chadema kwasasa naifananisha na chama cha Jubilee cha Kenya kwenye mfumo wa Ukabila na ukandaHata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia, zimejaa ukanda/ukabila na udini. Kabla KUB hajaishambulia Serikali ni vyema akaanza kusafisha kwake kwanza...
Mifano ipo mingi sana
- Nafasi nyingi na nyeti chadema zimeshikwa na wanachama kutoka kaskazini.
- Ubunge viti maalum 2010 - mpaka leo zimejaa upendeleo kwa kupewa mahawara/ndugu/jamaa wa vigogo wa chama
1. Joyce Mukya - Kimada wa Mbowe
2. Anatropia - Kimada wa John Mrema
3. Susane Maselle - Mke wa Makene
4. Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
5. Marehemu Christina Lissu - Dada wa Tundu Lissu
6. Grace Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
7. Sabrina Sungura - Kimada wa Komu
8. Mama Maulida Anna Komu - Ndugu wa Komu
9. Rose Kamili - Alikuwa mke wa Slaa
10. Mama Lowassa - Alitaka kupendelewa akawachomolea
11. Lowassa kahamia na wanachama kibao na watatu ni wabunge viti maalum.
12. List inaendelea na ni ndefu maana Kubenea ana hawara ni viti maalum....
13. Kuna wabunge viti maalum wachaga wamepewa ubunge uwakilishi mikoa mingine, wenyeji walilalamika sana
Ukitaka kujua Chadema ni kampuni ya Mbowe chukua fomu umpinge kwenye nafasi ya uenyekiti wa ChademaHujamsikia jana?
Kazi kweli kweli nyani haoni.......?Hata teuzi za CHADEMA zina upendeleo pia, zimejaa ukanda/ukabila na udini. Kabla KUB hajaishambulia Serikali ni vyema akaanza kusafisha kwake kwanza...
Mifano ipo mingi sana
- Nafasi nyingi na nyeti chadema zimeshikwa na wanachama kutoka kaskazini.
- Ubunge viti maalum 2010 - mpaka leo zimejaa upendeleo kwa kupewa mahawara/ndugu/jamaa wa vigogo wa chama
1. Joyce Mukya - Kimada wa Mbowe
2. Anatropia - Kimada wa John Mrema
3. Susane Maselle - Mke wa Makene
4. Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
5. Marehemu Christina Lissu - Dada wa Tundu Lissu
6. Grace Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
7. Sabrina Sungura - Kimada wa Komu
8. Mama Maulida Anna Komu - Ndugu wa Komu
9. Rose Kamili - Alikuwa mke wa Slaa
10. Mama Lowassa - Alitaka kupendelewa akawachomolea
11. Lowassa kahamia na wanachama kibao na watatu ni wabunge viti maalum.
12. List inaendelea na ni ndefu maana Kubenea ana hawara ni viti maalum....
13. Kuna wabunge viti maalum wachaga wamepewa ubunge uwakilishi mikoa mingine, wenyeji walilalamika sana
hahahaha chadema ubaya kwenye hii vita ya dhidi ya watu wa kanda ya ziwa watashindwa na ubaya wanajua fika hawana uwezo wa kushinda vita hii...na mara nyingi kwenye vita hii chadema ndio huumia.....
Na kama kwa mwenzako hakuko safi, haimaanishi na kwako kusiwe safi. Kuwa clean instead, and prove him wrong..!!Kabla hujashambulia basi hakikisha kwako kuko saafi.
Kwa hiyo hoja ina ukweli ........... ila kwa vile Chadema wana tatizo linalofanana hawapaswi kuliongelea!!Kwa chadema hii hoja hawapaswi kuishadadia sababu inawaumbua
Kabla hujashambulia basi hakikisha kwako kuko saafi.
Kwa chadema hii hoja hawapaswi kuishadadia sababu inawaumbua
Pamoja na comments zenu nzuri ......... wote mnakubaliana na Mbowe kiaina!!Kama Mbowe analalamikia Ukabila Acha nami nilalamikie Udini!
90% ya Wasukuma wanaoteuliwa ni wa dini Moja !
Tukitetea kuwa Rais hatazami dini anatazama Sifa na utendaji Basi pia namtetea Rais kuwa hatazami Kabila anatazama Sifa sio Kabila
Zimejaa ukanda,dini na kabila ndio maana uchumi unasuasua kwa sababu hakuna mchanganyiko sahihi wa mawazo na uzoefu wa kukabiliana na changamoto.
Infact Mbowe pia anajisahau kuwa hata teuzi cha CHADEMA nazo zimejaa ukanda na ukabila na hata udini. Aache unafiki.
I see youEeeeeeeh
Kiongozi wa wapiga kelele hicho anataka kusukuma cha vyeo.. eti kitawasaidia mbeleni eeeeeeeh
Yaani upinzani wapo honeymoon waijuayo wao awamu hii.. hawajali kabisa wananchi na kutaka kuona maendeleo.