Freeman Mbowe is ready to bring in the House statistics showing that Magufuli is biased towards certain appointments


Huwezi kuuona ubaguzi basipo na wewe kuwa mbaguzi

Cc: Mmiliki wa CHADEMA Freeman Mbowe

 
Pamoja na comments zenu nzuri ......... wote mnakubaliana na Mbowe kiaina!!

Sio Kiaina nakubaliana na Mbowe asilimi zote
Tatizo linakuja upande wa pili tunaposema Kama kuchagua Wasukuma wengi ni ishara ya ukabila Kwanini kuchagua Wakristo wengi isiwe ishara ya udini

Kama sio udini kwa kuwa kigezo ni uwezo wa Mtu sio dini yake pia tukubali kuwa Kigezo ni uwezo wa Mtu sio Kabila lake

Ndo yale yaleeeee!

Mafuriko yakitokea kwenu chanzo kinaitwa Mvua za juu ya kadiri, yakitokea kwetu ujenzi holela, tehe teh

Akiua Mzungu Marekani chanzo ni Matatizo ya akili
Akiua Muarabu chanzo ni imani yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…