Freeman Mbowe kuhamia CCM, CHADEMA inaanguka?

WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Hatukumtegemea kamanda Mbowe, sioni tofauti yeye na kina Halima mdee na aila zao, kafulila sijui Lijuakali and the so called Liwakatare
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Huu ni [emoji304] umeandika hapa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
kuanzia leo ndiyo nimekuona mjinga,kuliko watu wote kwenye jukwaa,ilitakiwa uwe kwenye Facebook,jukwaa la wanafunzi wa shule ya msingi
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
(e) Mbowe kusifia serikali inayonuka ufisadi kuanzia halmashauri mpaka serikali kuu kwa mujibu wa riport ya CAG mpaka wanaitwa ''stupid'' lakini bado wapo ofisini wakila kiyoyozi.
(f) Mbowe kushiriki mkutano unaohusu siku ya wananake uliondaliwa na wanawake wa chadema na kumkaribisha mwenyekiti wa CCM Taifa
 
Hongera kwa kujiingizia buku 7 hapo Lumumbaz , na usisahau 2025 Samiah atajiunga na chadema .. kwahiyo itakuwa mbwa kalambwanda
 
Kazi yenu ni kupiga ramli tu.
Mlizoea siasa za kizamani sana.
Lakini mna bahati mbaya, maana Samia hapendi ushamba kama huo kwenye siasa.
Kununua wapinzani, kuteka na kuua wapinzani.
Ni ushamba na uroho wa madaraka.
 
Chadema kwisha habari yao, mtu kama mbowe hakutegemewa kuwa laini kiasi hiki kumbe ilikuwa ni suala la muda tu
kwamba kumbe chadema ilikuwa bado ipo toka mseme chadema kwisha hadi leo bado wimbo wenu ni ule ule kama hujui ni kosa kufikiria chadema itakufa na ukiendelea kufikiria hivyo utakufa wewe na wajinga wenzio huko uvccm na sukuma gang.
 
Unaumia lakin huna chama tena pole
 
yani mimi nimrudie mungu wenu wa chato au yupi labda fafanua ndio nikujibu vizuri, by the way nguruwe ni uvccm wenzio na sukuma gang wenzio.
Safi, hata huyo nguruwe huna uwezo wa kumuumba - narudia tena kwamba kutoka kwa mbowe CDM ndo inazikwa jumla
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Bangi inapendekezwa isivutwe, lakini kama huwezi kujizuia basi inashauriwa uvute baada ya kula.
Zingatia ushauri Kabende Msakila
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
Chadema ni kubwa kuliko mtu awaye yoyote yule akiwemo Mbowe.
 
WanaJf,
Salaam!

Zipo dalili nyingi za mtawala wa milele ndani ya CHADEMA kuhamia CCM. Dalili hizi ni:

(a). Mbowe kukubali msamaha wa kuachiwa huru baada ya kupiga magoti CCM - alifutiwa mashitaka mazitomazito;

(b). Mbowe kukubali kwenda kula futari na kunywa Juice iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa;

(c). Mbowe kukubali ruzuku wakiyoikataa tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2020;

(d). Mbowe kuwakimbia kundi la wabunge wa Covid 19 - wanaopata uhalali kupitia MAHAKAMA.
CHADEMA sasa mahututi mbowe akikimbia. CCM kulamba dume.
unaweza kukuta unaitwa baba fulani?

mshua wako angepiga mkono mmoja juu.unaaibisha ukoo
 
Back
Top Bottom