Freeman Mbowe kuhamia CCM, CHADEMA inaanguka?


Ila sisi wananchi hatuna huruma. Watu wanapiga pesa huko, wewe umekomalia Mbowe Mbowe. Punguza saa zingine. Mnaibiwa mnajificha kwa Mbowe.
 
Hili sasa linaweza kuwa Dua la mbuzi na sio la kuku tenaπŸ€”
 
Anakaribishwa kwa mikono miwili.Akawe Mkuu wa wilaya ya Hai.
 
WAJINGA MNAHANGAIKA NA CHADEMA Safari hii mpaka IWAZALISHE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…