Tetesi: Freeman Mbowe kuhudhuria mkutano wa Uchaguzi wa Waziri mkuu wa Uingereza

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna taarifa kwamba Chadema imealikwa na chama cha Conservative cha Uingereza kuhudhuria mkutano wa kumchagua Waziri mkuu mpya wa nchi Hiyo

Inategemewa mwenyekiti nh Mbowe ndio ataongoza ujumbe wa Chadema nchini Uingereza

Updates;
 
Ni heshima kubwa sana kwa Chadema kama chama kikuu cha upinzani Tanzani kinachoaminika hata na Wazungu haswa Waingereza BIG UP CHADEMA"...….PEOPLE'S......
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna taarifa kwamba Chadema imealikwa na chama cha Conservative cha Uingereza kuhudhuria mkutano wa kumchagua Waziri mkuu mpya wa nchi Hiyo

Inategemewa mwenyekiti nh Mbowe ndio ataongoza ujumbe wa Chadema nchini Uingereza

Updates;
Acha Mh. Mbowe hivi sasa aishi kwa amani, kwa kuwa maisha yake ya kisiasa na ya viongozi wengine wa CDM yalikuwa hatarini mno katika kipindi cha awamu iliyopita.

Kesi za kubambikiwa za uchochezi, mikutano iliyoharamishwa kwa makusudi,, madawa ya kulevya na ugaidi; kuhujumiwa na kufilisiwa mali; kufungiwa akaunti za benki; kuzuiwa kufanya shughuli halali za kisiasa; kushambuliwa na wasiojulukana, kujeruhiwa, kuumizwa, na kuuwawa n.k

Dhuluma zilikuwa nyingi mpaka mamlaka ya juu mbinguni ikaingilia kati na kumuweka pembeni mtesi wao mkuu. Kweli kila nafsi itakuja kuhukumiwa mbele za Mungu kutokana na matendo binafsi ya mtu mwenyewe.

Na iwe vyovyote vile, Mh. Mbowe kula sasa bata ama kuku kwa mrija hata kama wale wenye kijicho watasema ni kulamba asali. Kwa hakika kwa maisha unatoyaishi hivi sasa, umechagua fungu lililo jema.
 
Back
Top Bottom