Tetesi: Freeman Mbowe kuhudhuria mkutano wa Uchaguzi wa Waziri mkuu wa Uingereza

Ni upumbavu uliokithiri kumcheka kilema, Mungu amekujalia wewe japo huenda kwenye ndugu zako (kama unao) wapo vilema nao unawacheka, kuwadharau na kuwakana kuwa ni nduguzo.
KUMCHEKA KILEMA SIYO SIASA NI UJINGA.
Kwani mbowe ni kilema?
 
Kuna taarifa kwamba Chadema imealikwa na chama cha Conservative cha Uingereza kuhudhuria mkutano wa kumchagua Waziri mkuu mpya wa nchi Hiyo

Inategemewa mwenyekiti nh Mbowe ndio ataongoza ujumbe wa Chadema nchini Uingereza

Updates;
Huwezi kusikia amealikwa Kinana hata siku moja
 
Ukweli Mbowe aliteswa sn na utawala wa shetani yule wa Chato
 
Kwani mbowe ni kilema?
Mama yako alikufundisha kuwa makengeza ni pozi, kwa sababu mpenzi wake ambaye ni baba yako alikuwa nayo ndiyo maana akafoli in lavu. Mnaacha kuongea vya maana mnaongelea maumbile, huo ni ujinga.
 
Ni heshima kubwa sana kwa Chadema kama chama kikuu cha upinzani Tanzani kinachoaminika hata na Wazungu haswa Waingereza BIG UP CHADEMA"...….PEOPLE'S......
Kinaaminiwa na waingereza lakini sio wapiga kura wa Tanzania

Waingereza huwa hawapiga kura!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…