Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Mdahalo kwa Mbowe ni kitu kizuri, hata akishindwa asiogope, itampa sifa kubwa kuwa anawakilisha democracy, akikacha atafanya upinzani uonekane kama CCM, na kuona kwamba mapinduzi yaa democracia tunayotaka hayana mshiko. Mbowe lazima ushiriki kama unataka Chadema iendelea kukua. Kukosa kwako Uenyekiti siyo mwisho wako wa kuwa jasiri/Mwamba. Kila zama zina mwamba wake.
 
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Umejiunga JF jana.Team Lissu huku hakuna wapiga kura.
 
Back
Top Bottom