Tetesi: Freeman Mbowe kukacha mdahalo wa Januari 18, 2025

Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Na bado. Mtaropoka sana ili baada ya uchaguzi mpumzike huku wenzenu wakiimba "Mwamba Tuvushe"! Ahahahahaha!!!
 
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Hakuna cha kukacha , hana sabau ya mdahalo na msaliti! Unakuwa na mdahalo na mwungwana, not mhuni
 
Hivi wapiga Kura kwenye nafasi hii ya Uenyekiti ni kina nani ?

Theoretically inaweza kuonekana kwamba hii ndio demokrasia ya uwazi na inayofaa ila practically sababu hizi ni hatua tu za kuweza kwenda kutawala washing your dirty laundry in public might backfire in the long run....

Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Mbowe atapigwa kama mbwa koko, ni ngum kwake shiriki, ila mbowe yupo na kipaji cha kujibu maswali ,joto nikali mpaka team Mbowe wanalala na viatu.

Mwenye sim ya Yeriko Nyerere ajaribu mpigia kila mara ,mda wote sim inatumika.
Nilimweshim sana Yeriko Nyerere ,vitabu vyake sichomi, sivichani tutabanana hum hum
 
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
mdahalo wa mdomo na makelele ni kupoteza muda tu :pulpTRAVOLTA:
 
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
Hivi chama cha watu wanaokwepa mijadala kinaitwaje???
 
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.

Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?

Happy New Year 2025 in advance
ni upunguani kuwaza mdahalo.
una afya gani kwa chama.
mbowe syo mwehu kama mwenzake hivyo haez kwenda kuchambana hadharani
 
Back
Top Bottom