Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 yawa kilio kwa Mbunge Saashisha Mafue

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kitendo cha Freeman Mbowe kukutana na Dkt. Samia Ikulu Desemba 31, 2022 kimemfanya mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue kumalizia mwaka 2022 na kuanza mwaka 2023 vibaya.

Hii imetokana na mwaliko aliyokuwa amealikwa lama Mgeni rasmi kutokuoneka na bila kutoa taarifa ya udhuru jambo ambalo nimeacha wananchi wa Jimbo la Hai midomo wazi.

Wengi Tume tafsiri kuwa maridhiano yanayoendelea Kati ya ccm na chadema yakawa mwiba kwake kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.

Kwa tafsiri nyepesi ndani ya CCM Jimbo la Hai , Wanachama hawahitaji nafasi hiyo irudi chadema ila irudi kwa mgombea safi anayekubalika kwa wananchi.

Kinyume chake wana ccm watamuunga mkono mgombea wa chadema iwapo ubabe utatumika.
 
Kumbe kupata majimbo ni Hisan ya mkuu wa nchi!
 
Kuna mtu amesema ameelewa ulichotaka waelewe?
 
Chanel zimeingiliana.Hujaeleweka bado
 
Back
Top Bottom